Miujiza kuonekana leo Sauti ya Uponyaji...
Ndugu unakaribishwa sana kwenye Ibada ya Uponyaji wa mambo yaliyoshindikana kwa binadamu, ndani ya kanisa la Sauti ya Uponyaji kwa Nabii Joshua,
Ibada hii inatarajia kuanza saa sita mchana fika Yespa Kihonda VETA Mjini Morogoro, Uko tiyari kupokea Miujiza leo fika leo panda Gari au Pikipiki au Taembea ufike kwa Nabii Joshua.
Wahi mapema hii siya kukosa kabisa njoo wewe unayesumbuliwa na mwenye kulemewa na mizigo nanyi mtapumzishwa.
Idada ya leo ni kwa wote waaminiao kutoka dini yoyote unakaribishwa sana.
kwa mawasiliano zaidi 0744929292/ 0742 141414/
0753702370