Jumapili hii Live kutoka Sauti ya Uponyaji
Apr 4, 2017
1 min read
Ndugu zangu Katika Yesu Kristo Jumapili hii tutawaletea huduma Mbashara kutoka Sauti ya Uponyaji kwa Nabii Joshua kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.Huduma hii italetwa mbashara kutoka Kihonda VETA Mtaa Yespa lililopo kanisa la Sauti ya Uponyaji usikose.
joshua13





























Comments