top of page

Inakuja: Kongamano la Uponyaji wa Kimungu..

Ndugu waminio na wasio amini Sauti ya Uponyaji iliyopo Kihonda Yespa mjini Morogoro inawatangazia Kongamano la Uponyaji wa Kimungu likiongozwa na Nabii Joshua.

Kungamano hii litafanyika tarehe 30/09/2017 na kumalizika 1/10/2017 hivyo mna siku mbili za kupokoa uponyaji kupitia Kongamano la Uponyaji wa Kimungu.


© 2017 SAUTI YA UPONYAJI. Proudly created with PASKAL LINDA.

bottom of page