Sauti ya Uponyaji: Jumapili hii ibada ya kuponya yaliyo shindikana kwa Binadamu.
Kanisa la Sauti ya Uponyaji linakukaribisha kesho siku ya Jumapili kwenye Ibada ya uponyaji kwa mambo yaliyo shindikana kwa binadamu. Fika Sauti ya Uponyaji kesho kuanzia saa nane mchana Kihonda Yespa mjini Morogoro ukutane na Nabii Joshua wa Sauti ya uponyaji