top of page

UZINDUZI WA MAHUBIRI YA NABII JOSHUA KATIKA TV KUYANYIKA MOROGORO.

Tarehe 31 mwezi huu wa tatu kutanzinduliwa mkutano mkumbwa ambao ujawahi tokea katika Mji wa Morogoro ambao utaendeshwa na mtu wa Mungu Nabii Joshua kwa njia ya tv,mkutano huo utafanyikia ktk ukumbi wa Tanzanite mjini Morogoro,

toa maoni yako ungependa turushe mahubiri kupitia tv gani hapa nchini ambayo unaamini ni tv makini zaidi?. Nakuomba Share kabla hujatoa mapendekezo yako.


© 2017 SAUTI YA UPONYAJI. Proudly created with PASKAL LINDA.

bottom of page