top of page

Historia fupi ya Nabii Joshua

Na Paskal Linda.Morogoro-Tanzania

NABII Joshua alizaliwa tarehe7/7/1987 Mbeya vijinini, Jijini Mbeya. Alianza kazi ya MUNGU nbaada ya kusikia sauti ya Mungu tangu nikiwa na umri wa miaka 7 na hapo hapo akaanza kuhubiri na kutabiri akiwa na umri wa miaka 12.

Alianza kufanya huduma za kichungaji akiwa na umri wa miaka 17 , Pia Nabii Joshua ni mwanzilishi wa huduma ya haki ministry (sauti ya uponyaji) yenye makao yake makuu mjini Morogoeo Kihonda VETA mtaa wa Yespa maalufu kwa Nabii Joshua kimsingi huduna yake imebeba injili ya Yesu Kristo Bwana inayo ponya na kuinua maisha ya watu wengine kwa huduma ya Nabii Joshua Whatsap no.0742121212. INAENDELEA JUMAPILI IJAYO USIKOSE....


© 2017 SAUTI YA UPONYAJI. Proudly created with PASKAL LINDA.

bottom of page