Nabii Joshea: Hekima ya leo
``mtu bora ni yule anaye weza kuona ubora wa wenzake na kuuthamini! yaani ubora wako unapimwa kwa ubora wa watu wengine.`` ni sauti kutoka kwa Nabii Joshua wa Sauti ya Uponyaji Kihonda VETA maeneo ya Yespa isokose ibadi kila Jumapili.